Ajali kubwa sana imetokea huko musoma leo,ni mabasi mawili yamegongana uso kwa uso!!! Hadi sasa watu zaidi ya #34 wameripotiwa kufariki dunia papo hapo!!! Na majeruhi ni #83. Inasikitisha sana kwani nimeshindwa kuposti hata picha za majeruhi,,