Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji Adam Kuambiana (pichani) amefariki Dunia. Bado tunafuatilia taarifa hizi kwa undani na tutawaletea habari kamili punde zikiwa tayari.
No comments:
Post a Comment